Priva Abiud (Privaldinho) - Ameteuliwa kuwa msimamizi mkuu wa Digitali na Maudhui (Digital Manager)
Karibu kwenye familia ya Mabingwa @privaldinho
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Anaandika @alikamwe
Mambo 10 nilioyaona Simba vs Yanga
1: DAR ES SALAAM is GREEN & YELLOW 🟢🟡. WENYE NCHI NI WANANCHI🙌 Pointi 3 za HESHIMA. Pointi 3 za KIBABE. Yanga wanaweza kukosa Ubingwa...
Fiston mayele huyu bwana ni mchezaji mkubwa saana nje ya Tanzania.
Kuna watu wanamuogopa saana
Na wengine kumsifia saana
Leo nimekuwa zangu fb kucheki cheki comment fulani kuhusu al hilal kilicho...
Nimefanikiwa kuona clips za mchezo wa kirafiki kati ya yanga na eagle sc inayoshiriki ligi daraja la nne mkoa wa dsm
Yanga walicheza poa sana ,low blocks,high pressing na walikuwa wepesi kuwasoma...
Tajiri kamtumia Kocha wa zamani Mkongo anayehudumu sasa ndani ya Klabu pamoja na Wachezaji wetu wa Kikongo ndani ya Klabu ili Kumalizana na Mkongo Mwenzao aliye kwa Waarabu awape Mbinu zao na pia...
Dstv wameshaanza kutangaza kurusha mechi zote 64 za kombe l dunia. Hawa wenzetu wa AzamTv naona mpaka leo wapo kimya, je watarusha mechi zote 64 au watatupa mgao wa mechi kama tanesco ya kipara?
Kuna vihoja vinasambaa mitandaoni vya kuonesha kuwa credibility ya CEO mpya wa Yanga ipo questionable.
Watu wanasahau kuwa ni vyombo vya sheria pekee ndiyo vyenye jukumu la kuthibitisha hilo. Na...
Bondia Tyson Fury ametamka kuwa amefuta mpango wa kupigana na Anthony Joshua huku akimtaja mpinzani wake huyo kuwa ni muoga kutokana na kutokuwa na msimamo wa kutoa majibu kuhusu kusaini mkataba...
App ilikuwepo miaka 4 naona imefufuliwa , vipi huko wajameni haijaathiri mkataba wenu wazee wa azam tv? si mlipewa exclusive kurusha mambo yao au inakuwaje?
Poleni sana ni suala la muda hata you...
Katika mashindano ya mbio za Marathon ya Berlin 2022, bingwa wa dunia wa mbio za marathon, Eliud Kipchoge amevunja rekodi yake ya dunia aliyokuwa akiishikilia mwenyewe na kutwaa ubingwa huo kwa...
Aibu kwa mtu anaitwa platinum member eti sasa rasmi Simba haitaanzia preliminary
Na Jamaa lingine akapost
Matokeo yake tukaanzia preliminary
Ma mods wa jf tusaidieni hizi post zisizoluwa na...
Bondia Floyd Mayweather leo amerudi ulingoni dhidi ya Bondia Mjapan Mikuru Asakura katika pambano la maonesho la uzito huru lililochezwa Japan.
Katika pambano hilo Mayweather amefanikiwa kushinda...
Naam wasudan hali ni tete,wanajua kwamba watapigwa kipigo cha mbwa koko tarehe 8 kama wasudan wenzao zalan lakini wanajikaza tu kisabuni.
Sasa jumatano ya week ijayo wanasafiri kuweka kambi ya...
Kipindi hicho 2018 Yanga na Al hilal walifanikiwa kuingia group stage 2018 kombe la shirikisho ukilinganisha takwimu zao utagundua kuwa Al hilal ni timu ya kawaida sana Si kama wanavyoipaisha...
Achana na umaarufu wa Karim 'Mandonga' Said, unaambiwa mapambano yote aliyocheza hivi karibuni, ni ya maonyesho ambayo hayajampa rekodi yeyote kwenye renki.
Pambano lake la Machi 26 alilochapwa...
Simba oyee!
Niko hapa napiga stori na wanaYanga nikitoa hoja ya Barbra kuteuliwa CAF wananitukana na kutaka kunimeza.
Tena nkijumlisha na tuzo ya Sako ndo wanakasirika Zaidi. Jaman Wana Yanga...
Habari
Jana usiku nlifuatilia mpambano kati ya emiliano patrick na Osama el-labi,kwa hakika nimevutiwa sana n kipaji cha huyu bondia chipukizi.Osama ametuonesha sisi wapenzi wa ndondi kuwa...
Leo 13:15hrs 04/09/2022
Mandonga, shujaa wa ulingoni mwenye ujuzi mkubwa na mbinu za kuvutia, tekniki na ubora wa hali ya juu, timamu wa akili ya ngumi, mwepesi wa mwili mwenye kipaji cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.