Soka la Africa na uchawi ni pete na kidole

Soka la Africa na uchawi ni pete na kidole

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,078
Reaction score
5,989
Mlinda mlango wa Gabo utd amenaswa akifukia kitu golini kabla ya mechi dhidi ya Simba SC Benjamini Mkapa stadium.

FB_IMG_1759079822684.jpg

Mambo kama haya huwezi kuyakuta ulaya 😁😁 sasa unaroga afu unafungwa 🤣🤣 atari
 
Waliweka ndumba ili wasifungwe na kweli imewasaidia.
Asee kweli maana wamekoswa koswa magoli mengi sana , wachezaji wanakazi sana unaweza kuwa fiti lkn ukigusa mpira huo ushasepa bilaa waganga soka hili
 
Ni Rituals, Confidence booster; ajabu unamcheka huyu alafu ushangai mtu kushinda kanisani au kupitia msikitini - Kumbe zote ni Imani tu...
 
Back
Top Bottom