Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ujerumani walikuwa wamevurugwa baada ya tamanio lao la kupigia kampeni LGBTQ kugonga mwamba, maana Qatar ilisimama kidete kusema haiwezi kuruhusu kwenye ardhi yake mambo machafu kupigiwa kampeni...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Nitabakia kuwa timu Argentina, France na Germany pekee, na hakuna timu nisiyoipenda na ninayoiombea mabaya kama ya Brazil kutokana na jezi yao, na hasa baada ya GENTAMYCINE kugundua kuwa 99.9% ya...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wakuu kwa wataalamu wa sanaa ya mchezo wa karate kata zina umuhimu gani au zinatumika vipi katika kupigana iwe ni kwenye hali ya mtaani (street fight ) au kwenye mashindano ya karate .kwa...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari za mwamko waungwana, nimejiuliza hili swali nikashindwa kupata majibu. Kwa mfano timu A inacheza na timu B, Timu A wakapata penati, mchezaji wao akaipiga na kipa wa timu B akaitema mpira...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Je, Azam TV hawana uwezo wa kifedha kuweza shinda kandarasi ya kuonesha Kombe la Dunia?
2 Reactions
77 Replies
5K Views
Baada ya miaka 17 ya umiliki wa Glazers family, iliyokumbwa na mikiki ya kukataliwa na mashabiki, sasa rasmi wameamua kuiweka klabu ya Man Utd Sokoni. Hili limetangazwa tarehe 22/11/2022. Katika...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Ismail Aden Rage (boss wa zamani) Simba SC aliona mbali sana, na alipatia mno kutuita wana Simba SC (GENTAMYCINE) nikiwemo mimbumbumbu (mipan'gang'a), kwani tunastahili kuitwa hivyo. Hivi kweli...
18 Reactions
47 Replies
4K Views
Sasa ni wazi. Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima. Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao dunia huru haiwezi kuukubali. Hakuna dini inaruhusu...
36 Reactions
167 Replies
12K Views
Sisi ni 'finalist' wa kombe la Dunia 2022 Qatar. Kuna watu wanatuchukulia poa, lakini tutawashangaza hawataamini.
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Toka Kombe la Dunia lianze, upande wa DStv Swahili huyu kijana amenikosha sana, haboi kusikilizwa. Hapigi kelele ila anatoa 'fact', usimuliaji wa mpira unatiririka. Leo Qatar tunampiga kibonde...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Naumia sana, Simba ina watu weledi waliowahi kutumikia nyadhifa mbalimbali serikalini, ina mtu msomi kama Magori lakini huwezi amini Yanga ya GSM inatisha sasa hivi. Kuwa 'unbeaten' mara 49...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Nafikiri tunaanza kuelewana mdogo mdogo, Yanga mikoani kavuna alama 18 mechi 6, Simba mikoani kavuna alama 5 mechi 3, kadondosha alama 4. Mzunguko wa kwanza Yanga atakuwa kacheza mechi 8...
17 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimeanza kuvutiwa na kucheza betting naombeni muongozo?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mshambuliaji huyo wa Brazil amepata majeraha ya kifundo cha mguu wakati timu yake ikishinda 2-0 dhidi ya Serbia baada ya kuchezewa faulo na Nikola Milenkovic. Alionekana akilia akiwa kwenye...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Leo hii analaumiwa Okrah, mechi iliyopita alilaumiwa Zoran, ya ngao akalaumiwa Inonga, sasa nyie kila mechi mtakuwa mnatafuta kichaka cha kufichia madhaifu yenu? Mlikuwa mnasema Juma Mgunda...
12 Reactions
42 Replies
3K Views
Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U. Jana R7 kaibuka...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Inanipa shida kauli ya msemaji wa simba, aliposema ligi yetu ni dhaifu. Pia zinanipa shida Tff na bodies ya ligi wenye mamlaka na ligi yetu. Ligi haiwezi kuwa dhaifu kama muandaaji na msimamizi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Style ya uanzishaji mashambulizi na magoli wanayompiga Serbia kama Yanga inavyowatesa wapinzani.
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Wengi tumeshawadharau maana mnachotafuta ni likes na retweets za mashabiki ili mjione Magwiji wa uchambuzi. Muda mfupi baada ya mechi ya Simba Vs Mbeya city umetweet ukimlaumu mwamuzi msaidizi...
19 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom