Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kama M bet kukaa kifuani pekee wanalipa bil 26 kwa miaka 5, wastani wa bil 5 kila mwaka, Mo anatoa billion ngapi kila mwaka kulipia matangazo yake yaliyojaa kwenye jezi ya simba. Je, billion 20...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama mwana Simba lialia niseme ukweli Yanga inaumiza hisia zetu sana. Tumekuwa ni wa kusubiri Yanga ifungwe lakini wapi! Sisi tunadondosha alama Yanga inabeba zote. Tumekuwa watu wa kutafuta...
12 Reactions
23 Replies
2K Views
Hakika Yanga timu ya wananchi hawakupendezwa na droo waliyopata Simba dhidi ya Mbeya City mgongea msumari akiwa Tariq Seif pale uwanja wa Sokoine. Baada ya gemu ile viongozi na wachezaji wa Yanga...
4 Reactions
9 Replies
937 Views
Timu isiyokuwa na academy ya kufundisha soka vijana uhai wake uko mashakani. Yanga punguza gharama za usajili nje na ndani ya nchi kwa kulea vijana wenye vipaji vya soka. Kusajili mchezaji kwa...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Timothy Weah ni mtoto wa Rais wa Liberia, George Weah ambapo jana aliweza kuipatia goli moja kabla ya Wales kuja kuzawazisha kwa mkwaju wa penat iliyopigwa na Gareth Bale. George weah imesemekana...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Klabu hiyo imesema iko tayari kumsaini nyota huyo kwa mkataba wa miaka 3 ukiwa na thamani ya Tsh. Bilioni 174.9 kwa mwaka. Aidha AL Nassr kutoka Mashariki ya Kati imesema haina tatizo endapo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Matokeo ya Yanga ikiichapa Mbeya City mabao 2-0 inafikisha mechi 49 bila kupoteza mchezo wowote kwenye ligi pia inazidi kujiimarisha kukaa kileleni, ikifikisha pointi 32, katika mechi 12...
4 Reactions
5 Replies
718 Views
Mechi ya Yanga dhidi ya Mbeya City nilishangazwa kuona matendo ya Kayoko yakipingana na akili yake na hata Ile ya mshika kibendera wake wakati wa kulikataa goli zuri la Kisinda. Huwezi kufanya...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Makolo hii ni ya kwenu, Leo mtaishangilia Yanga au Mbeya City..!? Maa'ke mi sielewi hapa, nachojua mkiishangilia Mbeya City mtakuwa mnaiogopa Yanga na mkiishangilia Yanga mtakuwa mnaiomba Yanga...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Niwaombe sana TFF kutumia Azam TV kama VAR. Itasaidia sana kuondoa uamuzi wa kijinga kama uliofanyika leo 26.11.2022 kati ya Yanga na Mbeya City. Mtakuwa.mmefanya mapinduzi makubwa sana kwenye...
3 Reactions
8 Replies
921 Views
Nafikiri ni mda wa wale wanaoendelea kushupaza shingo kukubaliana na ubora wa yanga kwa sasa,,unaweza ukawa na chuki binafsi lakini aziwezi kukusaidia bali zitaendelea kukuumiza moyoni na...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Tukiendelea na hekaheka za kombe la dunia pia Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwenye dimba la Benjamin Mkapa ambapo Yanga anaikaribisha Mbeya City. 24' ⚽ Yanga inatangulia kwa goli...
5 Reactions
123 Replies
10K Views
Miezi kadhaa iliyopita mwekezaji wa Simba, Mo Dewji alitangaza kujiweka pembeni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya klabu hiyo, kisha ‘kishkaji’ akamkabidhi nafasi hiyo Try Again, baada ya hapo Mo...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa masikitiko kabisa na kwa mara ya kwanza in history chini ya uongozi wa Barba SSC imedhalilika na kupata aibu ya mwaka. Hayo mambo yanayotokea ya kuazima makocha ni kitu ambacho kimeiondolea...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Bondia huyo Mtanzania amefanikiwa kupata ushindi wa Mkanda wa Dunia WBF dhidi ya Victor Hugo kwa pointi 99-91, 99-91, 99-91 katika pambano la uzito wa kati ‘Super middleweight lililofanyika kwenye...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Hili suala lichukuliwe serious nawaomba jamani, kina try again fanyieni kazi, leo mmeona wazi ndugu Aragija alivyojizima data akajifanya mwendawazimu hata kale ka nyumba chake huko manyara...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Afghanistan ATN Albania RTSH Angola TPA Argentina TVP, TyC Sports Armenia AMPTV Aruba Telearuba 13 Australia SBS Austria...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari, kama kichwa kinavyojieleza! Mwaka huu bingwa wa Komne la Dunia ni Uingereza kwa vigezo hivi viwili vya kiimani; 1. Mara nyingi bingwa wa Euro au mshindi wa pili wa Euro huwa anachukuwa...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Timu ya Simba (Simba SC Ltd) ina uimara na kasoro kadhaa. Mazuri yaimarishwe na yaongezwe, na mabaya yarekebishwe. Timu ya Simba ina Uimara katika maeneo makubwa sita: Fun base kubwa – idadi...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom