Jemadari Said; kielelezo cha Wachambuzi wa mchongo nchini

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
17,877
31,400
Wengi tumeshawadharau maana mnachotafuta ni likes na retweets za mashabiki ili mjione Magwiji wa uchambuzi.

Muda mfupi baada ya mechi ya Simba Vs Mbeya city umetweet ukimlaumu mwamuzi msaidizi No.1 kwamba ameruhusu magoli yote mawili ya mchezo wa Leo eti yote kulikuwa na Wachezaji wako offside. Story yako ni kutaka tu kufuta walichocomment wenzio kuhusu goli la Muzamiru ambalo Boko alikuwa offside na akaingilia mchezo, ukafananisha na goli la Tariq kwamba nalo Sixtus alikuwa offside.

Huo ni uongo na wewe unajua ni uongo. Tunakueleza mara Kwa mara ukitaka kuwa mchambuzi mahiri acha Unazi. Umetweet bila kuona position ya Shabalala kabla ya goli. Baada ya kuelezwa hivyo UMEIFUTA tweet yako haraka haraka na umejifanya kama Hakuna kilichotokea.

Utakuwa mchambuzi mzuri kama utaacha mahaba.
 
Kitimoto

JF-Expert Member
Aug 25, 2012
2,816
2,014

Goli la Mbeya City halikuwa la offside, huyo mchambuzi ni mpumbavu, mjinga. Upeo wake wa kufikiri ni mdogo sana kwa kifupi uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana kama mtoto wa chekechea.

Wewe mchambuzi kama umeongea haya utakuwa mchambuzi mpumbavu angalia ilo goli, wakati cross inapigwa mchezaji wetu wa Simba alikuwa kwenye msitari wa goli akijaribu kumkaba aliyepiga hiyo cross alitoka nje ya uwanja kutokana na kasi aliyokuwa nayo, sasa hapo offside inatokea wapi.

Pumbavu sana wewe mchambuzi wa michingo unayejihita Binti sijui nani.

Screenshot_20221123-220754_Chrome.jpg

Screenshot_20221123-220755_Chrome.jpg

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
17,877
31,400
Goli la Mbeya City halikuwa la offside, huyo mchambuzi ni mpumbavu, mjinga. Upeo wake wa kufikiri ni mdogo sana kwa kifupi uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana kama mtoto wa chekechea.

Wewe mchambuzi kama umeongea haya utakuwa mchambuzi mpumbavu angalia ilo goli, wakati cross inapigwa mchezaji wetu wa Simba alikuwa kwenye msitari wa goli akijaribu kumkaba aliyepiga hiyo cross alitoka nje ya uwanja kutokana na kasi aliyokuwa nayo, sasa hapo offside inatokea wapi.

Pumbavu sana wewe mchambuzi wa michingo unayejihita Binti sijui nani.

View attachment 2425431

View attachment 2425432

View attachment 2425421
Asante Mkuu nasubiri watetezi wake.
 
Interlacustrine E

JF-Expert Member
Jun 3, 2020
2,407
4,290
Goli la Mbeya City halikuwa la offside, huyo mchambuzi ni mpumbavu, mjinga. Upeo wake wa kufikiri ni mdogo sana kwa kifupi uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana kama mtoto wa chekechea.

Wewe mchambuzi kama umeongea haya utakuwa mchambuzi mpumbavu angalia ilo goli, wakati cross inapigwa mchezaji wetu wa Simba alikuwa kwenye msitari wa goli akijaribu kumkaba aliyepiga hiyo cross alitoka nje ya uwanja kutokana na kasi aliyokuwa nayo, sasa hapo offside inatokea wapi.

Pumbavu sana wewe mchambuzi wa michingo unayejihita Binti sijui nani.

View attachment 2425431

View attachment 2425432

View attachment 2425421
Goli lenu Makolo la kuongoza dhidi ya Mbeya City likwapi?
 
Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
807
1,364
Wengi tumeshawadharau maana mnachotafuta ni likes na retweets za mashabiki ili mjione Magwiji wa uchambuzi.

Muda mfupi baada ya mechi ya Simba Vs Mbeya city umetweet ukimlaumu mwamuzi msaidizi No.1 kwamba ameruhusu magoli yote mawili ya mchezo wa Leo eti yote kulikuwa na Wachezaji wako offside. Story yako ni kutaka tu kufuta walichocomment wenzio kuhusu goli la Muzamiru ambalo Boko alikuwa offside na akaingilia mchezo, ukafananisha na goli la Tariq kwamba nalo Sixtus alikuwa offside.

Huo ni uongo na wewe unajua ni uongo. Tunakueleza mara Kwa mara ukitaka kuwa mchambuzi mahiri acha Unazi. Umetweet bila kuona position ya Shabalala kabla ya goli. Baada ya kuelezwa hivyo UMEIFUTA tweet yako haraka haraka na umejifanya kama Hakuna kilichotokea.

Utakuwa mchambuzi mzuri kama utaacha mahaba.
Kuna jamaa nilikua nae alisema ile offside nikamwambia ni goli halali sababu kuna mchezaji wa simba alikua huku pembeni kabisa karibu na mstari sikumwona vzr
 
balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
12,444
10,030
Wengi tumeshawadharau maana mnachotafuta ni likes na retweets za mashabiki ili mjione Magwiji wa uchambuzi.

Muda mfupi baada ya mechi ya Simba Vs Mbeya city umetweet ukimlaumu mwamuzi msaidizi No.1 kwamba ameruhusu magoli yote mawili ya mchezo wa Leo eti yote kulikuwa na Wachezaji wako offside. Story yako ni kutaka tu kufuta walichocomment wenzio kuhusu goli la Muzamiru ambalo Boko alikuwa offside na akaingilia mchezo, ukafananisha na goli la Tariq kwamba nalo Sixtus alikuwa offside.

Huo ni uongo na wewe unajua ni uongo. Tunakueleza mara Kwa mara ukitaka kuwa mchambuzi mahiri acha Unazi. Umetweet bila kuona position ya Shabalala kabla ya goli. Baada ya kuelezwa hivyo UMEIFUTA tweet yako haraka haraka na umejifanya kama Hakuna kilichotokea.

Utakuwa mchambuzi mzuri kama utaacha mahaba.
Huyu akisoma Lindi seko form five akahamia Ndanda na form six alifeli.
 
Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
16,087
26,120
Nimejaribu kutazama magoli yote mawili, na nimeona yote ni magoli halali.

Offside ni pale ambapo mpira unapigwa, timu inayopiga huo mpira, huo mpira unaelekea ktk mlengo upi? Kuna mtu ameushiriki kuonesha nia ya kutaka kuhusika ktk mpira huo ulipopigwa? Na kama ameonesha nia, je yupo mstari sawia dhidi ya adui?

1. Goli la Simba
Wakat mzamiru anapiga ule mpira, mlengo wake ni kulenga goli na sio pasi. Na pale ulipopigwa, mchezaji wa mwisho wa Simba ambae ni Boko, hakuonesha nia ya kuuingilia ule mchezo, aliupisha ule mpira kwa kuruka kuupisha upite. Kama angeonesha nia yoyote ya kuucheza ule mpira, basi ingekuwa ni Offside.

2. Goli la Mbeya City
Maelezo yake hayana tofauti yoyote na ya Simba, ni goli halali kabisa.

Mwisho: kwa Simba hii michuano ya CAF tuona mengi msimu huu.
 
ukikaidi utapigwa2

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
6,623
14,275

Goli la Simba ni clear offside usipotoshe , angalia hapa chini
 
Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
25,684
6,444
Wengi tumeshawadharau maana mnachotafuta ni likes na retweets za mashabiki ili mjione Magwiji wa uchambuzi.

Muda mfupi baada ya mechi ya Simba Vs Mbeya city umetweet ukimlaumu mwamuzi msaidizi No.1 kwamba ameruhusu magoli yote mawili ya mchezo wa Leo eti yote kulikuwa na Wachezaji wako offside. Story yako ni kutaka tu kufuta walichocomment wenzio kuhusu goli la Muzamiru ambalo Boko alikuwa offside na akaingilia mchezo, ukafananisha na goli la Tariq kwamba nalo Sixtus alikuwa offside.

Huo ni uongo na wewe unajua ni uongo. Tunakueleza mara Kwa mara ukitaka kuwa mchambuzi mahiri acha Unazi. Umetweet bila kuona position ya Shabalala kabla ya goli. Baada ya kuelezwa hivyo UMEIFUTA tweet yako haraka haraka na umejifanya kama Hakuna kilichotokea.

Utakuwa mchambuzi mzuri kama utaacha mahaba.
Huyo siyo mchambuzi ni mjuaji namba moja.
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
17,105
46,733
Wengi tumeshawadharau maana mnachotafuta ni likes na retweets za mashabiki ili mjione Magwiji wa uchambuzi.

Muda mfupi baada ya mechi ya Simba Vs Mbeya city umetweet ukimlaumu mwamuzi msaidizi No.1 kwamba ameruhusu magoli yote mawili ya mchezo wa Leo eti yote kulikuwa na Wachezaji wako offside. Story yako ni kutaka tu kufuta walichocomment wenzio kuhusu goli la Muzamiru ambalo Boko alikuwa offside na akaingilia mchezo, ukafananisha na goli la Tariq kwamba nalo Sixtus alikuwa offside.

Huo ni uongo na wewe unajua ni uongo. Tunakueleza mara Kwa mara ukitaka kuwa mchambuzi mahiri acha Unazi. Umetweet bila kuona position ya Shabalala kabla ya goli. Baada ya kuelezwa hivyo UMEIFUTA tweet yako haraka haraka na umejifanya kama Hakuna kilichotokea.

Utakuwa mchambuzi mzuri kama utaacha mahaba.
Huyo Jemedari Said ndiyo yule mwana habari aliyepigwa picha akiwa amevaa kanzu chafu na yebo yebo miguuni!

Kama ni huyo, basi no comments.
 
19 Reactions
Reply
Top Bottom