1. Dakika za nyongeza zilikuwa 4 lakini zimepigwa dakika za nyongeza 10.
2. Baada ya kuongeza dakika hizo, azam wakafanikiwa kufunga bao la 3 na la ushindi, hivo matokeo yakawa 3-2
3. Vurugu...
Kwanza kabisa nimpongeze Gentamycine kwa kuwa shabiki wa mpira zaidi kuliko shabiki wa timu, Ni mtu ambae Timu yake ikicheza hovyo hawezi kumezwa na ushabiki kuipamba, hata kwa haya mafanikio ya...
▪︎Raphinha: 🗣 "Mashabiki wa Argentina wanamchukulia Messi kama mungu, Mashabiki wa Ureno wanamchukulia Ronaldo kama Mfalme, huku mashabiki wa Brazil wakishangilia Neymar kuvunjika mguu...
Mimi huwa nakereka sana katikati ya ibada inasimama kwaya kuimba mwishoni wanaanza kucheza style ya Mayele kwa kupiga mikono na kutetema, hicho kitendo ni cha kipuuzi sana!
Kwanza mnajua huwa...
Hii kitendo cha refar's kujiongezea dakika hata kama walipoteza mda hii sio sahihi kabisa refa anatakiwa afungiwe huu Sasa sio mpira ni rede, Dakika 90 zimesha unaongeza 4 ni ruksa na sio zaidi ya...
Hapo mwanzo kuna mashaka yaliibuka juu ya uwezo ako nao kijana wa Tshikedi Joyice Lumalisa, mara oo jina sijui la nani wakiongozwa na yule mpiga makelele wao, mara Yanga wamepigwa kama kawaida ya...
Kwanza kabisa niwape pole wale wote wanaopenda mpira ila kwa bahati mbaya wakajikuta wanaishabikia Yanga. Nataka niwaambie wazi kuwa Yanga sio timu ya mpira bali ni kikundi cha propaganda, hata...
Mjadala wa suala la ubora wa Chama. Umefungwa. Tujadili mambo mengine. Chama ni mchezaji mwenye kipaji cha kipekee sana. Nakumbuka mwenyekiti wetu Hersi alishasema Chama ni classic player ambaye...
✅ 1-0 v Simba
✅ 1-0 v Ihefu
✅ 2-1 v Dodoma Jiji
✅ 4-3 v Mtibwa Sugar
✅ 1-0 v Ruvu Shooting
✅ 1-0 v Namungo
✅ 3-2 v Coastal
Unadhani chini ya Kocha Kali Ongala kwa mwendo huu Azam FC wana nafasi...
HAYA NDO MAJINA YA KIKOSI CHOTE CHA BRAZIL
GOALKEEPERS
Alisson (Roma), Cassio (Corinthians), Ederson (Manchester City)
DEFENDERS
Dani Alves (PSG), Fagner (Corinthians), Filipe Luis (Athletico...
Wakuu leo tumeshuhudia Yanga akitandaza soka lake akiwa imara, pale kati Fei, Bangala na Aucho. Ama hakika Yanga hii kwa ligi ya ndani imeshindikana, mengi yatasemwa ila ukweli utabaki palepal...
Klabu hiyo imemtangaza kocha huyo wa zamani wa Arsenal na Villarreal kuchukua nafasi iliyoachwa na Steven Gerrard.
Emery anatarajiwa kuanza majukumu Novemba Mosi, 2022 mara baada ya kukamilisha...
Baada ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Simba SC Kutajwa rasmi leo kuwa ni January 2023, tegemea kuanzia sasa kuiona Klabu ya Simba ikishinda tena kwa Kishindo kabisa Mechi zake zote.
Ni kwamba...
Magoli ya kiungo mshambuliaji Abdelhamid Sabiri anayeichezea Sampdoria ya Italia na Zakaria Aboukhlal wa Toulouse ya Italia yameipa ushindi #Morocco na kuweka matumaini ya kufuzu Hatua ya Mtoano...
Nasser Al-Khelafi amesema kuwa vyombo vya habari haitendi haki kwa jinsi vinavyotoa taarifa hasi kuhusu Qatar ambao ni wenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia 2022.
Qatar imekosolewa na vyombo vya...
Tuisila Kisinda anapewa pasi na Fiston Mayele hatua chache toka katikati ya uwanja kuelekea lango la Mbeya City. Anakokota mpira kuelekea pembeni huku kila Mtu akiamini lengo lake ni kupiga krosi...
Kama watafikishiwa ujumbe kwa njia yeyote basi itakuwa kheri kwetu
Nashangaa benchi la ufundi kwa kipindi kirefu sasa wameshindwa kulisimamia hili
Ni ukweli usiopingika wachezaji wetu Jesus...
Mandonga Mtu Kazi baada ya kumfumua ndoige Saidi Mbelwa ametangaza kumtaka Hassan Mwakinyo.
Akihojiwa baada ya pambano amesema anaenda Qatar kupimzika, akirudi anamtaka Mwakinyo huku akimuita...
Natamani kweli kweli GENTAMYCINE nirudie enzi zangu ili nimalizane na Fiston Mayele kwa Kuvalia POP Mwaka mzima na Mimi kupewa Kadi Nyekundu na kufungiwa kucheza Soka kwa Miezi Sita au hata Mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.