TFF tumieni Azam TV kama VAR

Niwaombe sana TFF kutumia Azam TV kama VAR. Itasaidia sana kuondoa uamuzi wa kijinga kama uliofanyika leo 26.11.2022 kati ya Yanga na Mbeya City.

Mtakuwa.mmefanya mapinduzi makubwa sana kwenye mpira wa Tanzania.
Ujinga wa Leo mwachie Kayoko mwenyewe. Sijawahi kuona refa unaweka offside mpira ambao msaidizi wake wa pembeni kasema ni onside.
 
Kuna thread humu inazungumzia hilo, toka 2020 kama sikosei, wengekuwa ni wasikivu tayari wangekuwa wameshafanyia kazi, huenda saa hizi na maboresho yameshafanyika.

Ila bado hawajachelewa
 
Niwaombe sana TFF kutumia Azam TV kama VAR. Itasaidia sana kuondoa uamuzi wa kijinga kama uliofanyika leo 26.11.2022 kati ya Yanga na Mbeya City.

Mtakuwa.mmefanya mapinduzi makubwa sana kwenye mpira wa Tanzania.
Mlivyokuwa mnapewa magoli ya dhulma mlikaa kimyaa leo yamewakuta ndo mnataka VAR ile mechi ya AZAM ilikuwa mnakufa hata goli nne mpira unachezwa nje ya uwanja refa anaangalia tu.
 
Back
Top Bottom