Kuna watu wao kila ukisema kitu kinachohusu Mungu hudai imeandikwa wapi katika bible kana kwamba biblia imeandika kila kitu alichotenda Mungu katika hii dunia
Wengi hatuna imani na roho mtakatifu...
Leo kama tunavyojua ni Ijumaa kuu ya kumbukumbu la Yesu Kristo kukamatwa, kuteswa na hatimaye kufa msalabani kwa makosa ya kubambikiwa japo tunajua alikuwa anajua kitakachomtokea toka alipoianza...
Kuna mvua kubwa ilinyesha huko Thailand mwaka 2015 na kuangusha samaki toka juu kila mmoja alikuwa anashangaa.
Mvua kama hiyo ingenyesha hapa bongo ungechukua hatua gani.