eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Wengi huwa wanaenda dodoma kwa sababu maalum tu sio kwamba ni mji unaovutia sana hapana
Wow! Now Dodoma looks green. Nakumbuka makamu wa Rais alizindua kampeni ya kupanda miti na kuifanya Dodoma iwe ya kijani. Niliibeza kampeni yake kimoyo moyo nikijisemea ni ngumu kwa jangwa kuwa la kijani but now its coming. Here it is, a greenish Dodoma.
Wow! Now Dodoma looks green. Nakumbuka makamu wa Rais alizindua kampeni ya kupanda miti na kuifanya Dodoma iwe ya kijani. Niliibeza kampeni yake kimoyo moyo nikijisemea ni ngumu kwa jangwa kuwa la kijani but now its coming. Here it is, a greenish Dodoma.
Kila kitu kuponda tu. Mbona jengo la ufipa limechakaa na halivutii?Wengi huwa wanaenda dodoma kwa sababu maalum tu sio kwamba ni mji unaovutia sana hapana View attachment 727747View attachment 727749View attachment 727754View attachment 727758
Nilitaka kusema hivyo hivyo ,kipindi cha mvua Dodoma utaipenda lkn acha jua liwake na kiangazi kije ndio utaujua ukame wa Dodoma unafananaje, vumbi mtindo mmoja!Dodoma kukinyesha mvua mbona huwa kwa kijani sana mkuu...subiria mwezi nane au 9 hivi ....
hiyo kampeni ni nzuri ila matokeo yake hayawezi kuja kwa muda mfupi hivyo
Kweli kaka. Nakumbuka nilifika mpwapwa kipindi fulani ilikua kipindi mvua zinapiga kulinivutia sana..nikaenda kipindi cha kiangazi sikuamini macho yangu.Subiri kiangazi kije ndo utajua rangi ya Dodoma
Uzur wa Dodoma as compared to Dsm, hakuna foleni wala joto kama la Dar. Na wanaume wa Dom sio kama wa Dar (jst kidding)
Ni kweli. Kwa sababu pana shida sana. Uzuri nimeishi pote, Dar na Dodomadar hapafananishwi na mahali popote Tanzania... dar panapimwa na nairobi, lusaka, harare, jo burg etc
Ni kweli. Kwa sababu pana shida sana. Uzuri nimeishi pote, Dar na Dodoma
Hahhaa JF raha sana.Hilo bunge ndio kabisa linaonekana kama an ancient abandoned alien spaceship,a gargantuan grey monstrosity.
Mbn husemi uache foleni ya Jangwani ukateleze mwanzo mwisho ktk barabara za Dodoma..??yaani utoke dar ukakae dodoma.. hapo ni lazima mwajiri akulazimishe.. ila hivi hivi haiwezekani.. uache tibiwa muhimbili au agakhan ukatibiwe udom.. uache kucheza mziki next door au tips ukacheze dodoma maisha club.. mtoto atoke feza aende shule dodoma....
Sasa, weye akili yako unaiwaza CHADEMA tu? Huyo anaandika kuhusu mji unaong'ang,'anizwa upendeze. Halafu wanakula viwavijeshi kwa uchumi uliokua.Kila kitu kuponda tu. Mbona jengo la ufipa limechakaa na halivutii?
Tena jengo lenyewe limejengwa toka enzi za nabii NUHU[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kila kitu kuponda tu. Mbona jengo la ufipa limechakaa na halivutii?