Minah24
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,043
- 1,937
[emoji111][emoji111][emoji111]Ungerekebisha kichwa cha habari "Uzi wa picha za model wanaovaa viremba kichwani au " wanaovaa stara" hiyo sio hijab.
View attachment 727343 View attachment 727343
Umezoea kuangalia misabwanda ya kina Kim eeeh!!!!! bhacc wote wanafanya kazi zile zile na huenda wakawa wanalipwa sawa ila hawa wanavaa stara,sura zao ni kivutio toshaaHawavutii bana.
Maeneo yote muhimu yamefunikwa na hayo manguo.
AhUmezoea kuangalia misabwanda ya kina Kim eeeh!!!!! bhacc wote wanafanya kazi zile zile na huenda wakawa wanalipwa sawa ila hawa wanavaa stara,sura zao ni kivutio toshaa
[emoji23][emoji23][emoji23]nyie ndo mnasababisha mabinti wa sasa hv kuanika miili yao insta nakujiita mamodo wakati hata dili za matangazo ya lotion za grace hawapati darhhh!!!Ah
raha ya model uone visivyoonekana bana.
Hapo ndio unampa maksi zote, hata kama ulikuwa hutaki