Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
Unakuta viatu vya aina mbili mlangoni,bado unakazana kupiga hodi.Unataka kugundua nini?
daaaa ujinga kupiga hodi hapo ni kupiga chabo tuUnakuta viatu vya aina mbili mlangoni,bado unakazana kupiga hodi.Unataka kugundua nini?View attachment 728661



Utamwagiwa maji ya motodaaaa ujinga kupiga hodi hapo ni kupiga chabo tu
Hahaha kweli eeewInawezekana ntu na njombaye wapo ndani...
Ntu na binamu yakeMnaweza kuwa mtu na ndugu yake tu
Haha unanunua na viatu vya kike kabisaHii mbinu itanisaidia watu wasinisumbue mchana ni mwendo Wa kuweka hivi kila siku.![]()
NdiwooooooooNtu na binamu yake
Hahahaha unaondoka tu,unasubiri kaka lisaa limoja ndo urudihe he he
halafu ukute subwoofer imewashwa sauti ya juu na feni inapuliza kwa speed, huku watu hawazungumzi.
Hapo lazima ujikatae
he he he heHahahaha unaondoka tu,unasubiri kaka lisaa limoja ndo urudi
Kama nna shida nta bisha hodi tu asee
Labda uandike pale mlango
"Closed" au uandika "Mekwe"
eti closedHahaha wamevaa na nguo wanaangalia tvhe he he he
ukirudi unakuta kila mtu jicho jekunduu, halafu hana time na mwenzake
Viatu havi maanishi chochote![]()
![]()
![]()
eti closed

halafu ule mziki umezimwa na kila mtu ananukia sabuni ya kuogea.Hahaha wamevaa na nguo wanaangalia tv
Hahaha panakuaje kitandan?halafu ule mziki umezimwa na kila mtu ananukia sabuni ya kuogea.
Ole wako sasa uelekeze macho kitandani, utakatwa jicho