,Nimepata mesage huyu jamaa ni designer,Natafuta contacts ya huyu designer, kuna ndugu yangu angependa kuandaa harusi na mavazi itakuwa ya asilia as these
Ujaji mgumu jamani ukimtazama Mheshmiwa Jaji Mama Angela Kileo hapo hajajiremba kitu chichote hakuna cha kusuka hata twende kilioni, hakuna wanja wala lipshine wala mkufu wala make up ya aina...
Je kwa mwendo huu kweli mambo yatakwenda? Nahisi hawa ni mamluki wa chama cha rangi za kijani waliotumika kuzomea kwenye kongamano pale UDSM.................
Poleni kwa kazi na starehe, sasa naona vikombe vimekuwa ndo deal ya kukimbilia sasa je ni yupi wa ukweli na ni yupi anachakachua wadau saidieni hapa:frown:
1. It's me THE PRESIDENT
2. Rais wa MASHAROBARO
2. A.k.a. BOB JUNIOR
3. A.k.a. MR CHOCOLATE
Anayejinadi hivyo si mwingine bali ni kijana RAHIM RAMADHANI aliyepo hapo chini kulia, msikilize:
No special treatment: A fellow passenger took this photograph of the couple in the departure lounge ahead of the Ryanair flight from Stansted airport to Malaga