Hii imekaaje wana jf : Vijana wapo kwenye kongamano kujadili katiba mpya........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje wana jf : Vijana wapo kwenye kongamano kujadili katiba mpya........

Discussion in 'Jamii Photos' started by only83, Apr 10, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  205079_204562146244885_100000733047937_600383_4440693_s.jpg

  Je kwa mwendo huu kweli mambo yatakwenda? Nahisi hawa ni mamluki wa chama cha rangi za kijani waliotumika kuzomea kwenye kongamano pale UDSM.................
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Duh hii itakuwa njaa au usingizi. Ilikuwa sa ngapi?:hug:
   
 3. e

  englibert Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wali amshwa saa 11 asubuhi kuja kuwahi viti ili kuwazuia wachangiaje wa kweli.
   
 4. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ujanja wa kizamaaaani!!
   
Loading...