JK na Mh.Halima Mdee. Ipe Maneno Picha

JK na Mh.Halima Mdee. Ipe Maneno Picha

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,061

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na na Mbunge wa Jimbo la Kawe,Halima Mdee kutoka CHADEMA.
 
Halima hata habend kidogo kwa kinafiki tuuu! Ndo maana makinda alisema hawawaheshimu wakubwa!
 
sasaa dinaa vipii halimaaaaa.............
 
Yule makongoro mahanga anadhani mh. halima atamchunia rais kumpa mkono check alivyo ovateki macho. Rais anasema hapa mtarudi tu na nakuletea barabara usijifanye wewe ndo umeleta ni mimi wala sio ccm.
 
Walahi we mtoto ungekuwa ccm saa hizi we waziri afu ziara za nje lazima twende wote, we unasemaje!
 
Yule makongoro mahanga anadhani mh. halima atamchunia rais kumpa mkono check alivyo ovateki macho. Rais anasema hapa mtarudi tu na nakuletea barabara usijifanye wewe ndo umeleta ni mimi wala sio ccm.

Nashukuru ccmB wameliona hili, sasa wanaona wivu Big up Mdee tunaona mambo yako (barabara) wameanza kujikanyagakanyaga
 
mmemuona makongoro anavyotazama?
utasema mtoto wa shule alienyimwa pipi...
 
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na na Mbunge wa Jimbo la Kawe,Halima Mdee kutoka CHADEMA.
"Uliponikimbia kule mjengoni ulidhani hatukutani?" " Ah! si unajuwa tena naogopa yanayomkuta Zitto"
 
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na na Mbunge wa Jimbo la Kawe,Halima Mdee kutoka CHADEMA.

Sasa Dk. Makongoro Mahanga anamshangalia nini Halima Mdee? Au anafikiriwa kama angegombea huko sijui Segerea ingekuwa kazi?
 
Naona kama rais wetu mcheshi sana lakini anazidi kuchonga fastafasta, nadhani ni kutokana na kazi nyingi! Halafu ule uvaaji na utanashati aliokuwa nao miaka ile naona kama unapungua
 
Halima hata habend kidogo kwa kinafiki tuuu! Ndo maana makinda alisema hawawaheshimu wakubwa!

Aaah., ameweka shingo upande mkuu labda ndo heshima ya kwao..
 
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na na Mbunge wa Jimbo la Kawe,Halima Mdee kutoka CHADEMA.

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wake wa Jimbo la Kawe,Halima Mdee kutoka CHADEMA.
 
Halima:Mbona Rais unanitekenya
Rais:Mhmmm...............basi, nitakuambia siku nyingine
Makongoro(kwa mbali akiwaza):Sijui nimkumbushe Rais kuwa yule dada ni jembe la CHADEMA maana hachelewi kusema'mimi simjui Halima Mdee'
 
Back
Top Bottom