kikombe

kikombe

shoshte

Senior Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
129
Reaction score
20
Poleni kwa kazi na starehe, sasa naona vikombe vimekuwa ndo deal ya kukimbilia sasa je ni yupi wa ukweli na ni yupi anachakachua wadau saidieni hapa:frown:
 
Poleni kwa kazi na starehe, sasa naona vikombe vimekuwa ndo deal ya kukimbilia sasa je ni yupi wa ukweli na ni yupi anachakachua wadau saidieni hapa:frown:
Sioni picha hapa sa sina uhakika kama upo kwenye jukwaa linalohusika ndugu yangu
 
Tukuulize wewe uliyeanzisha thread ya vikombe?
 
Back
Top Bottom