hebu mgeuze na huo upande mwingine huko 2one kama nako kumenenepa hivohivo... mchina nini huyu jamaa????Huyu hapa hamumuoni bado??
![]()
Huyu jamaa kanenepa mpaka anashindwa hata kunyenyuka!!!
Huyo atakuwa ni binadamu wa nyama kama kuna wanaokula binadamu
Huyu hapa hamumuoni bado??
![]()
Hivi kichwa huwa hakinenepi?