Nilishawali post kitu kama hiki siku chache zilizopita. Mlinzi wa Rais alivyo ni sawa na mpambe tu. Angalieni tofauti ya mlinzi wa Waziri Mkuu wa India alivyo smart na asivyoweza kugundulika...
Wadau,
Nimemejaribu kuangalia hili tangazo nikaamini kuwa kuna tatizo kidogo. Sina hakika ni mimi peke yake mwenye hilo tatizo. Na kama hilo tatizo lina exist na kama wewe ndiye mwenye kampuni...
* CCM ZAWADI ZIKO WAPI? NAPE ALIKUWA SINGIDA ALIONDOKA NA ZAWADI ZOTE?
Mgeni rasmi Katibu wa Uchumi na Fedha Taifa wa CCM Mwigullu Nchemba (Mb) akizungumza na wana CCM na wananchi wa kata ya...
Alikuwa anatokea kazini akapata lifi ya rafiki yake. Kumbe huyo rafiki yake alikuwa kalewa chakari wakapata ajali ,na haya ndiyo yaliyojiri baada ya kupona .unaamini ni kweli
Kijana mmoja mjini morogoro maeneo ya Kihonda mbuyuni amepata kipigo cha nguvu baada ya kutegewa mtego na raia wema akiwa kwenye mawindo yake ya kila siku!!
Kijana huyo inasemekana ni mfanyakazi...