Mbakaji wa wanawake apata kipigo baada ya kutegewa mtego

Mbakaji wa wanawake apata kipigo baada ya kutegewa mtego

Blaque

Senior Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
127
Reaction score
105
Kijana mmoja mjini morogoro maeneo ya Kihonda mbuyuni amepata kipigo cha nguvu baada ya kutegewa mtego na raia wema akiwa kwenye mawindo yake ya kila siku!!
Kijana huyo inasemekana ni mfanyakazi wa kiwanda kimoja kilichopo kihonda alikuwa na tabia ya kubaka wanawake ,na alifanikiwa kubaka zaidi ya wanawake wasiopungua wanne ndani ya wiki 2,alikuwa anapanda juu ya mti akivizia mwanamke apite ili amshughulikie na raia wema ndio wakapanga kumtegea mrembo naye bila kusita akamvamia na kumtishia screw driver na kisu na mrembo akapiga kelele na watu kutoka kwenye maficho na kumkamata na kumshushia kipigo cha nguvu,baadhi ya wanawake waliobakwa na mtu huyo walithibitisha kumtambua mbakaji huyo..
Kati ya walikumbwa na mkasa huo wamo wake za watu...baada ya kipigo alichukuliwa na polisi na kupelekwa kituoni..
 

Attachments

  • DSC_0000081.jpg
    DSC_0000081.jpg
    4.1 KB · Views: 289
  • DSC_0000083.jpg
    DSC_0000083.jpg
    4.2 KB · Views: 216
  • DSC_0000082.jpg
    DSC_0000082.jpg
    4.2 KB · Views: 207
Aaah huyu 'alistahili' hicho kipigo. 'Alijitakia' mwenyewe. Tena na wangemuua kabisa. Sijui kwa nini walimwachia.
 
huyo wala msingempa kibano hicho,ilitakiwa mu mbake yeye nae aone starehe yake kama alikuwa anafikiri anawapa wenzie starehe.alakini amekoma huyo hata akiachiwa.
 
mnh mungu saidia nisiwe mwepesi wa kutoa kipigo kwa wahalifu,huu ni uuaji...
 
Yaaaaniiii inamaana watoa kipigo wote walikuwa wanawake? Mbona mmenyima raha kijana wawatu? huyo alitakiwa kubanduliwa na yeye tena hadharani kwa kuukalia mpododo kabisaaa!! Yani ilitakiwa hao watoa kipigo ajitolee mmoja mwenye shipa la uhakika amdumbukizie huyo msengee ahangaike nalo na kumumiminia uji kisha wamuachie aande bila kusahau picha au kideo. alahaaaa!!!!!!!!!!!!!!
 
hao wake za watu wako tayari kutokea hadharani mbele ya waume na watoto wao wakiri kuwa jamaa aliwabaka?
 
wenye tabia kama yake wajifunze na waache mara moja
 
duuuh!jamaa kweli domo zege kiasi hicho mpaka ahangaike kupanda juu ya miti na screw driver!!!!kweli uanaume shughuli pevu!
 
Poleni sana mliobakiwa wanawake zenu na wale woote mliobakwa naombeni mkapime dunia imebadilika jamaa inawezekana anamatatizo labda ya kiakili au kiafya ni bora mkapime mapema..jela ataenda kubakwa tu kwahiyo msijali malipizo humuhumu duniani:A S 103::A S 103::A S 103:by mbakaji
 
Naona jamaa kavaa ring kidole chetu kile ...hana mke huyu? heri asiwe naye maana bonge la aibu kwa mke wake kama anathubutu kubaka ndani inakuwaje?? Si anaweza kukufanya visivyo!!! kwa kukutishia bisibisi nasisi tunavyoogopa kifo!! Oooh MUNGU tuepushe na balaa ili nimeona thread nyingine inasema wadada wauwa kwa kumtuhumu mkufunzi wao mbakaji ..maskini mbakaji anapona wanakufa inaosemekana lakini huyu amebaka zaidi ya wamama wanne ambao wamemtambua mbakaji wao ameponyeka..!! Mngem RIP tu wapungue duniani..au no mngechukua hazina yake inayomfanya apate jeuri ya kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom