Nisaidie kwenye hili tangazo.

Nisaidie kwenye hili tangazo.

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Wadau,
Nimemejaribu kuangalia hili tangazo nikaamini kuwa kuna tatizo kidogo. Sina hakika ni mimi peke yake mwenye hilo tatizo. Na kama hilo tatizo lina exist na kama wewe ndiye mwenye kampuni; Mhariri Mkuu anatakiwa kufanywa nini?

Pix%2BMilambo.jpg
 
tatizo ni nini, hivi inaandikwa Milambo au Mirambo.
 
Cna uhakika kama kijarida kinaelezea zaidi kuhusu Mtemi Milambo au utamaduni wa wananchi wa Tabora. Kazi ni Kwako!
 
tatizo ni nini, hivi inaandikwa Milambo au Mirambo.

Ni Milambo,zamani walitumia Mirambo,ila kwa sababu wanyamwezi hawana 'r' ikaondolewa.Kimsingi kutumia jina la mtemi huyumaarufu kunaipromote Balimi lager,yaani yenye nguvu kama mtemi huyo alivyokuwa na nguvu katika utawala wake.
 
Back
Top Bottom