Taabu yote ya nini si bora kutembea kwa miguu tu

Taabu yote ya nini si bora kutembea kwa miguu tu

Hahahaaaaaaa eeeeehhhhhhhhhhhhhhhhh duhhh
 
Labda alipata ajali mikono haishuki chini ..... huwezi jua!!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Sorry nimetumia tu heading yako - the best option

Taabu yote ya nini si bora kutembea kwa miguu tu
 
mimi nimeipenda sana.amejitahidi kucopy ile picha ya kwenye chupa ya konyagi.hakuna kushusha mikono.
 
wabongo wakiona wataiga kumbe jamaa bangi imekolea
 
Dah! Chopa la ukweeeli, hayo makono tu!
As far as i know, thats not streat legal, Nadhani anatafuta kuvunja record za kina Paul Teutul teh teh.
 
ujana 2 unasumbua. akikua ataacha, kujicheka na kujishangaa
 
Back
Top Bottom