Ulinzi wa kizamani huu siasa za Tanzania zimekosa wabunifu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulinzi wa kizamani huu siasa za Tanzania zimekosa wabunifu?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, May 27, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Nilishawali post kitu kama hiki siku chache zilizopita. Mlinzi wa Rais alivyo ni sawa na mpambe tu. Angalieni tofauti ya mlinzi wa Waziri Mkuu wa India alivyo smart na asivyoweza kugundulika kirahisi kama mlinzi, na kisha oanisha na mlinzi wa Rais wa Tanzania alivyopambwa na nguo za polisi magereza na kofia inayoonekana toka mbali kama mashua baharini. Uzamani huu utaisha lini?

  Ukiona polisi wanavyotembea na magobole yao mitaani atamfukuzaje mhalifu wakati gobole lile linazidi urefu wake. Kununua bastola ni gharama ndogo sana ukilinganisha na pesa wanazolipishana posho wajanja tokana na kodi zetu.
   
 2. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mlinzi wa JK ni kibonge fulani, si wa mazoezi ni kula
   
 3. S

  Seacliff Senior Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Candid Scope I hate to disagree with you but you are completely wrong. Wale ambao wameshakuwa kwenye sherehe kama hizi watakujulisha kuwa hata huyu raisi wetu anao walinzi wake ila hao uniformed ni mostly ceremonial na hii siyo case ya Tanzania tu ila nchi nyingi zinafanya hivyo. Ungepanua hiyo picha ungewaona walinzi wenyewe ambao ni just as credible as hao wa bwana Singh.
   
 4. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,947
  Trophy Points: 280
  CS unataka kutuambia nini hapa...
   
 5. a

  andry surlbaran Senior Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha mi napita tu eti magobole na askari magereza jamani nimecheka!!
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mlinzi alikuwa yule marehemu Mtabiri!
   
 7. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo wewe una amini kuwa Rais ana mlinzi mmoja tu? sidhani kama hawapo serious kiasi hicho
   
 8. M

  Mughwira Senior Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Jun 10, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyu mwenye uniform si mlinzi wa raisi ila ni msaidizi wa raisi anaitwa ADC (aide-de-camp) Kazi yake ni kubeba mafaili ya hotuba ya raisi na vitu vidogo kama raisi atahitaji papo kwa papo. So kabla ya kuanza kuponda elimika kwanza.
   
 9. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,646
  Likes Received: 21,857
  Trophy Points: 280
  Tehe tehe! Rev usipende kuchekesha watu saa hizi, wengine hatujala hivyo tunaumia mbavu.
   
 10. O

  Omumura JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Maji marefu sasa atachukua mikoba rasmi!
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Huyo aliye karibu na Waziri Mkuu wa India anaonekana kama mbeba mafail ya rais, lakini huyo wa Kikwete na magwanda ya polisi magereza inanivunja mbavu
   
 12. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Unataka kuniambie msaidizi wa Rais mbeba mafaili ya hotuba anatakiwa afae sare za polisi magereza?
   
 13. L

  Leornado JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Lazima kuwe na tofauti kati ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea. Iko siku hata hata bongo mambo yatabadilika na kuwa kama India.

  NB:Kabla sijasoma maelezo nikajua ni JK na mmiliki wa Dowans, kumbe yupo na gabachori kutoka udosini.


  Polisi wanabeba magobole yanawaelemea na njaa ya siku nzima. Maisha ya bongo ni kama komedi :biggrin1::biggrin1::biggrin1:.
   
 14. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Je, Rais wa nchi kulindwa na askari magereza kwani ni mfungwa? Viongozi wasiowafungwa kama Waziri Mkuu wa India mpambe wake hana sare za polisi magereza.
   
 15. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kutembea kuona mengi, bahati mbaya tunatembea na kuona wenzetu wanavyo update system sisi tuko busy na kuchakachua tu.
   
 16. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Hata Obama hana huyo magamba wa magwanda

  [​IMG]
   
 17. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #17
  May 27, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Fuatilia nchi zote zenye mawazo chanya huwezi kuona rais akiwa na wapambe wenye sare za Nanyaro!!! Tatizo la mataifa yetu woga na upumbavu! Walinzi wetu bado wanatumia ulinzi wa kimwili (physical intelligence) badala ya ulinzi wa kiteknolojia! Nimewahi kufanya utafiti wangu binafsi juu ya ulinzi wa kiteknolojia, yani ikulu na viongozi wetu wapo wapo hatarini na hawajitambui!!! Ukitaka kujua siri mpaka za chumbani za viongozi wetu haihitaji kusafiri kuwafuata!! Hata kama upo USA au Ibiza siri zao zote utazipata pamoja na video zao!! Wasishangae siri nyingi za ikulu siku hizi zinatoka nje wakaanza kushikana uchawi kumbe wachawi ni wao!!!
  Mungu ibariki Tanzania!!!
   
 18. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
 19. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Waungwana walishawahi kusema usichokielewa usikishupalie kukitolea kauli. Unaelekezwa bado unajifanya kujua wakati hujui...vilaza wengine mnatia kichefuchefu!
   
 20. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Bongo bana, ni full vituko. Jana usiku niliona sehemu ya taarifa wakati huyo baniani anaonyeshwa ubingwa wa kukata mauno (sijui kama kucheza na nyoka ilikuwepo jana.) Wakati wanaondoka watu wamezonga magari halafu wale walinzi walovaa kiraia wanakurupuka kwenda kule mbele utadhani kuna purukushani fulani hivi, yaani mtu unapata taswira ya mabaunsa uchwara wa uswahilini. Ungetegemea watu wanaoingia pale wawe ni watu waliostaarabika, kujazana kando ya magari yalobeba wageni wapi na wapi. Hivi waheshimiwa wakienda nchi kama jamaica wanapigiwa reggae au??
   
Loading...