Another State of the Art "Opiniont" from Kipanya"

Fredwash

JF-Expert Member
Oct 27, 2009
1,032
1,372
kipanya.jpg
jamaa namkubali sana....
 
Huyu jamaa yuko juu sana kwenye fani.Mimi ni mmoja wa wapenzi wa katuni zake,nasikia atatoa DVD ya nusu saa itakayoelezea upuuzi wa Kipanya.Naisubiri ingawa sijajua ni lini.
 
Kipanya namkubali sana ni profesa katika hii fani. Sijui kwa nini hawa chuo kikuu cha dsm idara ya fasihi au kule idara ya FPA hawajampatia shahada ya juu ya heshima (Ph D) kwa mchango wake katika jamii.
 
Kipanya namkubali sana ni profesa katika hii fani. Sijui kwa nini hawa chuo kikuu cha dsm idara ya fasihi au kule idara ya FPA hawajampatia shahada ya juu ya heshima (Ph D) kwa mchango wake katika jamii.
aaah jamaa namkubali sana ila hizi PH D za kupeana hatuzitaki kabisaa!
 
aaah jamaa namkubali sana ila hizi PH D za kupeana hatuzitaki kabisaa!

Msome mkuu Shiumiti hapo juu.

Hua najaribu kutizama mchango wa wale wote waliokwisha tunukiwa shahada za Ph D za heshima nashindwa kuona impact yao inayo justify kwa nini walistahili kutunukiwa. Wengi ni sababu ya aidha vyeo / nafasi /madaraka yao katika jamii. so kipanya kwangu mimi nadhani anastahili, si Ph D ya heshima tu jamani
 
Kweli Masoud Kipanya ana kipaji lakini tusimsifie sana ; tabu ya mswahili sifa zikizidi atalitia tembo maji halafu tutakosa uhondo anaotupa sasa!!
 
bwana kipanya ni mzuri wa kuchora katuni na kutoa buruduni kwa maneno ila nimemstadi long c m2 wa kutoa mchango mzuri wa kimawazo na kuangalia ukwel ulipo lijapo swala kutafuta haki haswa za vijana,najua ushadoubt,nakupa mfn,kuna pindi wanaudsm waligomea miundombinu thaifu,udogo wa hela ya kujikimu,umeme,nk,ila nikamsikia kwenye redio akisema maneno vry disapointing huku akisema wafuate kilichowaleta vijana,eti wanaliaibisha taifa,ala!m2 usomee hata choon kisa ni elimu!!so since tht dy nikawa cna hamu nae,although anafanya vzur
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom