Mwanamke kufanywa kama mnyama ni aibu kubwa kwa tgnp-inkya unafanya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke kufanywa kama mnyama ni aibu kubwa kwa tgnp-inkya unafanya nini?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mr.Mak, Jun 9, 2011.

 1. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,580
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Ama kweli mwanamke anadharilishwa sana katika tanzania yetu. Jamani akina kaka msifanye hivo nao hawa ni binadamu siyo wanyama, msifanye udharilishaji huu wa kijinsia. Ivi ananile inkya unawajibika kweli? aise usipo angalia kila kukicha unachuma madhambi makubwa kwa cheo ulichojitwisha. ebu niambie utu wa hawa wanawake hapa

  Global Publishers
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,923
  Likes Received: 14,528
  Trophy Points: 280
  Natamani nikuelewe lakini nimeshindwa kabisa.
   
 3. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,874
  Likes Received: 985
  Trophy Points: 280
  Aisee Mr. Mark unaishi karne gani?
   
 4. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,183
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mkuu una hangover nini??
   
Loading...