Angalia polisi wenyewe walivyochoka!!! Masikini wanatumiwa tu..
View attachment 31661
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, akipita jirani na polisi waliokuwa wakiimarisha ulinzi katika mahakama ya Mkoa wa Arusha ambako Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alipokuwa amefikishwa baada ya kukamatwa Dar es Salaam.