Wanoko Paw na painkiller wakishangaa kamera

Wanoko Paw na painkiller wakishangaa kamera

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
askari+paparazi.JPG


wakishangaa kamera ya mwandishi Fred Bakalemwa uko Rungwe.....
 
Ahahahaaah!! Unatafuta ban mkuu......
 
Sasa hapo wanavyoshaangaa si wanaweza hata kutekwa??yaaani aisee hawa vilaza iko kazi.
 
wanashangaa kamera hao maafande hawaoni haibu!!!!!!!!!!!!!
askari+paparazi.JPG
 
Ni mgawanyo wa kazi, kila mtu au fani inaumuhimu wake hapa duniani, tusibeze fani kwa ushabiki wa siasa.
 
jamani mnaocomment hapa chungeni sana... YoYo ameshakula ban msije mkafuata nyie..!
 
Back
Top Bottom