Sometimes life forces a person to do unusual things in life especially when you are poor. In this video, is an old man who saw the best option for him to get medical care is to go to jail.
Watch.
Niliona kwenye CNN inasikitisha kwakweli. Republican wanasupport watu km hao waendelee kuumia kwa kukosa insurance.Wanapinga Jaluo health plan. Kazi kwelikweli.
du! na hawa ndio tunategemea watununulie vyandarua na kutuletea umeme, na kila kitu ambacho serikali ya jk imeahidi!! Kwa hisani ya watu wa Marekani!!! we need to be serious!!
du! na hawa ndio tunategemea watununulie vyandarua na kutuletea umeme, na kila kitu ambacho serikali ya jk imeahidi!! Kwa hisani ya watu wa Marekani!!! we need to be serious!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.