Ipe maneno hii picha

Ipe maneno hii picha

Viper

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2007
Posts
3,666
Reaction score
1,407
huyu jamaa (tabia anayoonesha katika hii picha) utamfannisha na humu JF


mwana Jf.jpg
attachment.php
 
ni kama maeneo flan ya Dodoma. Huyu ndo wale wanaoitwa Fataki.
 
hapo mbona tayari kashakubali? anazuga tu kuleta sitaki nataka
 
Dada kalainika kweli kweli, kesho utasikia kabakwa.
 
Hapo sio mafinga pale changarawe opposite na mafinga jkt?
Huyo dada anafahamika kama mia! Anaombaga shilingi mia pale.

Hiyo njemba sio invisibo kweli!!
 
Back
Top Bottom