Bendera gani kati ya hizi inakuvutia zaidi?

Bendera gani kati ya hizi inakuvutia zaidi?

Rejao

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
9,219
Reaction score
4,087
Bendera zetu!

attachment.php
 

Attachments

  • BENDERA.jpg
    BENDERA.jpg
    40.8 KB · Views: 255
Hiyo ya kijani tupu inanivutia sana! Muda wote natamani kuitizama
 
Bendera ya Chadema inahitaji mabadiliko rangi hawajazipangilia vizuri
 
Ni kitambaa tu, lakini ni symbolic representation ya kitu fulani!!

Nadhani kuna haja ya kuwa na sheria ya nchi inyoasimamia rangi za bendera za vyama vya siasa ili zifanane na zile za bendera ya Taifa ila kila chama kiwe na design yake.
 
Hata bendera nazo zinaleta ushindani. Hivi wekundu kwenye bendera kwa moja ya vyama vyetu hapa Tanzania inamaanisha nini vile?
 
hii bendera ya kijani kila nikiiona nahisi kichefuchefu na kutaka kutapika
 
wekundu kwenye bendera inamaanisha kuwa taifa hilo lilijipatia uhuru wake kwa njia ya kumwaga damu.Kwenye hizi bendera yenye rangi nyekundu inaashiria kuwa tz tulipata uhuru kwa kupigana i.e vita ya majimaji,etc.
 
maandamano na mabomu tumezoea...
Hata bendera nazo zinaleta ushindani. Hivi wekundu kwenye bendera kwa moja ya vyama vyetu hapa Tanzania inamaanisha nini vile?
 
Back
Top Bottom