Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Siku zote rafiki wa kweli ni yule anae kusaidia kwenye shida na raha, je hawa ni marafiki wa kweli?
1 Reactions
9 Replies
3K Views
hili ni tangazo la tahadhari kwa walevi wote wasiokuwa wastaarabu.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
baba kawapiga pini watoto.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dah!Diamond balaa yani kaibuka na tuzo tatu kwa mpigo.Ni hiz za kill music awards.Kachukua ya mchezaji bora wa kiume wa mwaka,mtunzi bora na video bora ya mwaka.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
gsyvjjrrkhc mkjydkkkxt
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Huwa natamani hii katuni ingekuwa kweli lau tungepumua kutokana na utoro wa kijana wetu ukiachia mbali kuacha nyumba ikiwa chafu huku akifaidi na laazizi wake. Ila furaha yake ni mauti ya watu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu katika tembea tembea yangu nchini hapa nikaona tangazo hili. Ni wapi hapa?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Hapo Sheria ni kwamba huruhusiwi kusomea gazeti mezani wala kusogelea meza kama hununui.... cheki mshikaji anavyokuchambulia headlines akiwa mita kadhaa....sijui kwenye macho amefunga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hebu ipe hii picha maelezo yako!
0 Reactions
34 Replies
8K Views
U.S. President Barack Obama greets his ambassador to Colombia, Michael McKinley, as he arrives for the Americas Summit at the airport in Cartagena, April 13, 2012. Heads of state meet at the...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mpaka Tume ya kurekebisha katiba imalize kazi katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu Professa Baregu atakuwa amefuta chozi la kutupiwa virago vyake pale UDSM na hii serikali..........maana mlo wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
828 Views
  • Closed
Nimeupenda ucha mungu wa aina hii toka kwa waumini wa kikatoliki....ama hakika kumcha mungu ni chanzo cha maarifa...................
6 Reactions
44 Replies
9K Views
Mbowe jubilantly shakes Lowassa's hand.......................are they buddies or just getting over with the occasion?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
idadi kubwa ya watu tunapenda kuvaa Tai lakini hatujui jinsi inavyofungwa! Hebu pata Twisheni ya Bureeeeeee!
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…