Hata Ukibana.....

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Gazeti...jpg

Hapo Sheria ni kwamba huruhusiwi kusomea gazeti mezani wala kusogelea meza kama hununui.... cheki mshikaji anavyokuchambulia headlines akiwa mita kadhaa....sijui kwenye macho amefunga darubini...akifika kijiweni anahadithia utadhani alinunua gazeti...akili ni nywele!!
 
Ithink its good kwani akiruhusu kila mtu kuyasogelea magazeti yatachakaa hivyo atakosa soko
 
mi nimeipinda huyu kweli ni mbishi,lakiniacha wakome hawa ndio wanaoitetea ccm wakati hata gazeti la jero linamdhalilisha.
 
View attachment 51832

Hapo Sheria ni kwamba huruhusiwi kusomea gazeti mezani wala kusogelea meza kama hununui.... cheki mshikaji anavyokuchambulia headlines akiwa mita kadhaa....sijui kwenye macho amefunga darubini...akifika kijiweni anahadithia utadhani alinunua gazeti...akili ni nywele!!

wazeee wa vichwa utawajua tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom