Wengi Mnashindwa kufunga hii kitu

Kwa wale ambao wanatumia android mobiles (Sijui kwa upande wa apple) ingia market afu tafuta program inaitwa "HOW TO TIE A TIE" Kuna kila aina ya ufungaji tai.
 
android wapi?? Wakati twishen iko hapo juu tena ya bureeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom