Professa Baregu akiapa mbele za JK...

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
bareggu.jpg

Mpaka Tume ya kurekebisha katiba imalize kazi katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu Professa Baregu atakuwa amefuta chozi la kutupiwa virago vyake pale UDSM na hii serikali..........maana mlo wa Tume unazidi maradufu mshahara wa professa wa chuo kikuu kama UDSM...........In life anything is possible....na hili tukio linanikumbusha ya kuwa in life friends are temporary but interests are permanent..............
 
Aliogopa kushika Biblia au Msaafu kwakumuogopa Mungu kwakua anajua kabisa hiyo katiba lazima CCM wataichakachua! Safi sana Baregu.
 
Back
Top Bottom