Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Pwani hoyee
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Tupeana maana ya hii picha?
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Huu ni Uzi wa Picha za utani, za kuchekesha, kuburudisha na kufundisha kutokana na utani wa makabila mbalimbali. Wasukuma tunataka haki yetu ya msingi ya kutambulika kama kabila photogenic zaidi...
12 Reactions
108 Replies
22K Views
Wajuzi wa Mambo tuelimishane juu ya hiki chungu Nimekikuta mahali
0 Reactions
1 Replies
709 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, John Heche amefika Mkoani Mwanza kukiwakilisha chama chake kwenye Ibada Maalum ya kuwaombea Wahanga wa ajali iliyonyofoa uhai wa Watu 14 , wakiwemo Waandishi wa...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
#1 Doris, Age 97 Freddy, Age 67 Becky And Dave, Ages 65 The Belfon Family – Meg age 35 Dale, Age 48 Andy And Db, Ages 53 And 52 Cody, Age 27
4 Reactions
9 Replies
2K Views
. Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Ikumbukwe kwamba ile kesi ya Ugaidi dhidi ya Mwamba Freeman Mbowe na wenzake watatu inaendelea leo , ambako uamuzi mdogo wa mapingamizi utatolewa , Tayari Mtukufu Jaji Amekwishaanza kusoma uamuzi...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu jamaa ana akili nyingi sana.IQ yake si ya kawaida.
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Anaitwa Souleyman Adam Khamis ana umri wa miaka 26 na yeye ndiye mtu mrefu kuliko wote nchini Tchad 🇹🇩 ana urefu Wa mita 2.45
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Hadithi yenye funzo kubwa! Nani anaikumbuka?filimbi ya kwanza ilikuwa kuwafukuza panyafilimbi ya pili ilikuwa ya kulipa kisasi kwakuwapoteza watoto timiza ahadi yako na kamwe usidhulumu cha mtu
8 Reactions
54 Replies
15K Views
Usiombe mvua inyeshe na una nappy 5, wakati huo omo haipatikani sabuni olikua Foma kutoka Tanga. Nappy hazikuwa rahisi kwani zilipatikana kwa matendo kutoka Zambia, Kenya, Congo na walioishi...
9 Reactions
4 Replies
969 Views
Eti inasemekana aliyemdhibiti nape kwa bastola ndio huyo hapo nyuma Kama ni kweli maana yake aliyemtuma itakuwa bashite.k
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Mibuyu ni miti inayoota huko Dodoma, ile kauli ilisema “Nimesikia huko Dodoma kwa akina Kassim….”. Mbuyu wa kwanza umeshang’olewa. Fuvu linaangalia lakini sasa halina kauli. Kwakifupi tu...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Tujikumbushe ya Zamani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom