17 Equations that changed the world

17 Equations that changed the world

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
.
Screenshot_2022-01-07-22-35-20-72_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Haya makitu yaliniumiza sana kichwa.. nashkuru leo ninaishi kwa hesabu za kujumlisha, kutoa, kuzidisha na kugawanya sijawahi kutumia logarithms 🙆‍♂️
 
Runge-Kutta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]daah!!
 
Haya makitu yaliniumiza sana kichwa.. nashkuru leo ninaishi kwa hesabu za kujumlisha, kutoa, kuzidisha na kugawanya sijawahi kutumia logarithms 🙆‍♂️
Ahahahaahaa...!! Unakuta mtu umesoma makitu makubwa kweli, lakini unaishi maisha yako kwa kutumia topic moja tu ya somo zima toka la kwanza hadi univercity
 
Cha msingi hapo wote wanacheza na alama za msingi kama
-
+
---
=÷[]{}√><
Hao walio gundua hizo alama za kutumika kwenye hayo matheori ndio wapewe kongole za kutosha
 
Back
Top Bottom