Wana JF,
Ule usemi ambao Lowasa anausema mara kwa mara kuwa Professer Dr. Amiri jesh Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa hawakukutana barabarani imedhihilika baada ya kupata picha nzuri kutoka...
Hii picha nimekuta sehemu nikapata udadisi tu na kupenda kujua hili tukio lilikuwa ni la nini, na hawa wazee waliokaa ni kina nani, na kama bado tuko nao. Waliosimama sina shaka nao.
Ile sheria ya kubana uhuru wa mambo yetu yale upo around the corner! So leteni hayo makitu basi wadau!
Cc: MUSSOLIN, Tee Bag, mshanar jr, muhomakilo jr, KikulachoChako, MO11, n.k
Dar es Salaam. Treni ya kisasa (Delux), kwenda Bara yenye mabehewa 22 ilianza safari yake ya saa 30 kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma ikiwa ni tofauti ya saa sita ikilinganishwa na safari ya...