Picha: Wenye kujua mtujuze

Picha: Wenye kujua mtujuze

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,266
10622914_10203205128283951_3947066149637767894_n.jpg

Hii picha nimekuta sehemu nikapata udadisi tu na kupenda kujua hili tukio lilikuwa ni la nini, na hawa wazee waliokaa ni kina nani, na kama bado tuko nao. Waliosimama sina shaka nao.
 
Kweli hawakukutana barabarani.
 
wanajuana kwa vilemba vya ukoka hao. r.i.p kwa hao wazee waliokaa kwenye viti
 
Yet u'll be misused effectively and efficiently with the poorest POLITICS.
 
Back
Top Bottom