Habari Picha Kikwete, Lowasa , Kinana na Rostam Azizi hawakkutana Barabarani

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF,

Ule usemi ambao Lowasa anausema mara kwa mara kuwa Professer Dr. Amiri jesh Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa hawakukutana barabarani imedhihilika baada ya kupata picha nzuri kutoka maktaba kuu.

11103872_797827883642871_2119282119_n.jpg

Wawili hawa ni marafiki sana kuliko chochote ingawaje hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, tunawatakia uongozi mzuri kwa ngazi walizopo na wanazotegemea kupata.
 
Wote hapo juu waliosimama waafrika ni wanajeshi, RA ni fbi na ndo mtu pekee alionana na Obama in private wakati wa ziara yake TZ; sasa unganisha dots dots
 
Wote hapo juu waliosimama waafrika ni wanajeshi, RA ni fbi na ndo mtu pekee alionana na Obama in private wakati wa ziara yake TZ; sasa unganisha dots dots

Acha fix ..unamjua Rakesh? Yule wa haki elimu? Ni classmate wa Obama na nimarafiki na walionana in private.
 
Back
Top Bottom