Nyumba hiyo ipe maneno...................

Nyumba hiyo ipe maneno...................

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
11091202_650007785131102_1196825437830567217_n.jpg


11133929_650007861797761_978671298619372849_n.jpg
 

Attachments

  • nyumba hiyo.jpg
    nyumba hiyo.jpg
    128.7 KB · Views: 347
  • nyumba tena.jpg
    nyumba tena.jpg
    125.6 KB · Views: 328
Mmmmh mimi ngoja nipite huku,tusubili wajuzi...
 
Fundi aliyepaua bati anajua, lakini kwa standard ya madirisha ya choo&bafu inatakiwa course 3 na sio hizo 2
 
Imezama upande na alibomoa huo upande akajenga upia na ndio maana hata hiyo sehemu lental hakuna. Pc no 1
 
INAUKUBWA GANI?MPAKA HAPO IMETUMIS SH NGAPI/ wapi huko?
 
Fundi Paa kafanya kazi nzuri.
Ila sijaelewa, huu upande mwingine ipo kama inaanguka.
 
Nyumba ipo upande upande fundi analipua!!!Dirisha moja liko upande na limezidi jingine kwa ukubwa!!
 
imejengwa kiujanjaujanja hii..Mungu saidia isije kuleta maafa mbeleni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom