Nimeipenda hii

Nimeipenda hii

Haya mambo mengne tusiwe tunakurupuka! mwishowe unaweza haribu
From the nature Mungu alivoumba hakukosea, ndo mana hata simba jike akizaa dume wala halisogelei kwa mtoto mchanga kwa sababu linajua ni kaz ya nani..

sasa leo hi mi na mikono yangu hi migumu ka kisiki nikishka ngoz yangu kujikuna tu inaacha alama sasa ndo sembuse na mtoto mdogo.. tena mchanga.

iyo kaz labda nyie waNaume wa dar Wenye mikono laini.
 
Jamaa ameshindwa kabisa...lakini nia imeonekana
 
kuelekea usawa wa kijinsia kimajukumu
 
Back
Top Bottom