Hiv wakat una qunt comment ya mtu mbon huku hamtoi like au mnapenda kupew loke kuna groap 1 linaitwa makapu kila ukisom lazim utoe like huku vp[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2]...
Ni asubuhi saa 12:30 wanafunzi wa Shule ya Msingi Kizuiani, Wilaya ya Temeke (Dar es salaam) wakiwa wamekaa uwanjani wakiendelea na masomo.
Nawapongeza sana Walimu wa Shule hii kwa jinsi...