umenikumbushsa kuna jamaa alikuwa anajifanya kuuza mawe ya kutibu ukigongwa na nyoka................ pale stand ya moshi enzi hizooo nasoma hahahah siku ya siku akamuudhi nyoka wake akamgonga mwenyewe......... lahaula kwani yale mawe yalimtibu sasa hahaha ilibidi akimbizwe hospital ya mawenzi so sometimes usijiamini asilimia 100 ukiwa karibu na hawa viumbe wa mwituni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.