Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Unahisi JK anamwambia nini Paul Makonda?
halafu mbona ulinzi wake bado mkubwa...kikomo cha ulinzi mkubwa mwisho lini toka alipotoka madarakani?walinzi wa magufuli wanajuta, hakuna safari za nje za kueleweka, lakini walinzi wa Jakaya bado wanakula pipa tu.
hahahahha....Bila mimi ungekua bado unapokea buku 7 pale Lumumba
hahaha...kama kweli vile.Kwa nini umekamata sukari yangu?
Just for my information: Kabla ya Makonda kuwa DC Kinondoni alikuwa na wadhifa gani CCMUnahisi JK anamwambia nini Paul Makonda?
Mpiga polish wa RizuJust for my information: Kabla ya Makonda kuwa DC Kinondoni alikuwa na wadhifa gani CCM
jk ndio yupi hapo na makonda yukoje
Mh, sidhani kama ni kweli! Ni marafiki ila huyu baba yake Riz alikuwa mkubwa na uwezekano wa kumpigia debe rafiki yake ni mkubwaMpiga polish wa Rizu