Kenyatta amkimbia Museveni na Magufuli Uganda

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,426
1,431
Screenshot_2016-05-11-14-15-17.png
Nimeitoa kwenye Page yake ya FB
 
Nadhani amepima wapi kwenye umuhimu mkubwa ndiko ameamua kwenda.Mkutano wa kujadili masuala ya uchumi ni wa muhimu kuliko kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka 1986.
 
museveni is expired commodities...
 
Uhuru ana mambo ya ajabu
Museveni alipo amua bomba lipite Tanzania
Uhuru alifuta picha zote za museveni akiwa na Uhuru kwenye ukurasa wake wa FB
 
Nadhani amepima wapi kwenye umuhimu mkubwa ndiko ameamua kwenda.Mkutano wa kujadili masuala ya uchumi ni wa muhimu kuliko kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka 1986.
Nchi yake ingepewa deal la pipeline angehudhuria.huo ni ukweli usio na chembe ya shaka.
 
KIONGOZI WA NCHI ANA HESHIMA YAKE.......!! HII KUSEMA KUKIMBIA SI NZURI, KWANI LAZIMA AENDE YEYE...? NCHI INAWEZA KUWAKILISHWA NA OFISA YEYOE AMBAYE RAIS ATAMTEUA. TUNAPASWA KUSHIRIKIANA SIO KUTAFUTA MADHAIFU ILI TUTENGENEZE MIZOZO
 
Back
Top Bottom