Niliona kama kafanana na chura nikahisi labda kaenda kwenye maji kunesanesa !Jamani mmeambiwa anatafutwa kapotea, sasa habari za chura tena!!....
Mtoto ametulia na sijui ametoroka kwa sababu gani, ila kwa huo mzigo, kurudi ni ngumu sana.
Wamuulize sunraChura kapotea?