Wife material ana vingezo vyote muhimu! wanapatikana MKOA gani hawa!

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,644
18,707
13174118_521181738065320_5629252264404024228_n.jpg
 
Hakuna popote kambi we jua kwamba ni jukumu lako kuakikisha anapata vyote atakavyo kwa wakati.
Pia kuwa muwazi unapo kuwa nacho na unapo kuwa katika hali ngumu. Kuwa mwalimu wake na pia msikivu pale atakapo jaribu kukueleza jambo. Maisha ni kufundishana na uvumilivu wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom