Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,277
- 61,233
fanya alichosema kwanza, mie nimejaribu. inakuwa huyo mnyange anaingia kwenye hiyo bangili aloshika huyo jamaaKiukweli sijaelewa kabisa una maana gani and where is that funny thing!
[emoji2] hapana mkuu wala sio uchizi ni image tu inabadilikaUnataka kujaribu akili za watu u proof uchizi wao!
Yes I seeUkisogeza pua yako kwenye kioo cha simu yako kwa kufuata usawa wa hiyo nukta utaona kama huyo mwanamke anaingia katikati ya hiyo ring