👉Wahubili wengi wanashindwa kueleza kwa uhakika kwanini watu waovu wengine wanaishi maisha mazuri huku waadilifu wakiteseka kila siku.
👉Swali la kwanini maombi ya baadhi ya waumini...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la faraja kwa wafiwa waliowapoteza Wapendwa wao, wakidhani kifo ndio mwisho wa maisha, kumbe sio. Kifo ni mwisho tuu wa mwili na uhai, lakini roho ipo, haifi na inaishi...
Andre Charles Stander alizaliwa November 1946 na kufariki Februari 1984 nichini Afrika Kusini ambapo alikuwa Polisi kuanzia mwaka 1963 hadi 1980 miaka ambayo alifanikiwa kuziibia benki zaidi ya 30...
Habari zenu .....
Wanajamvi naomba kujua sababu ya kuona vitu au siku zinajirudia yani naweza kukaa siku nikaona kama matukio yanajirudia Yan nikaona kama hiyo siku nilishawahi kuiona na kufanya...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Nimekuwa nikifikiria kila wakati na kutaka kujua kama kuna viumbe kwenye sayari zingine. Juzi tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale. Jamaa mmoja akaanza kutuelezea kuwa kunaviumbe NASA...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Tunawalaumu sana hawa jamaa kwenye wizi wa technology na hualibifu wa chen za kibiashara lakin hua hatokei mt kusema mbinu wanazotumia kujipenyeza kwenye makampuni makubwa ya...
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki...
Kila siku binadamu hufanya maamuzi kuhusu pesa, mahusiano, biashara, afya, kazi, na maisha kwa ujumla. Lakini ukweli wa kushangaza ni kwamba watu wengi hawaamui kwa logic pekee — akili, mazingira...
Habari zenu wakuu,
Natanguliza salamu za pole kwa wale waliofiwa na wapendwa wao katika kipindi hiki kigumu. Kikubwa tuwasikilize watalaam wa afya na tuwakinge tuwapendao.
Mtanisamehe kwa...
KWANZA UKISOMA KWA PC AU COMPUTER NYINGINE IPO BORA KULIKO KWA SIMU
Fanya Research yeyote ya underground utagundua All Roads lead to Rome Vatican. Diplomatic roads .Nk
Kati ya vitu vilivyo wahi...
Kuna kumbukumbu nyingine za maisha yetu tupitiayo ikiwemo misukosuko, ghadhabu, matatizo , mihemko, tabu na vilio, furaha na bahati, kuanguka na kuinuka tena.
Pasi na shaka vitakufanya umkumbuke...
Kiumbe cha kwanza - LUCA
Wanasayansi wanakiita LUCA = Last Universal Common Ancestor.
Hicho ndicho kiumbe cha mwisho ambacho wewe, mti, mbwa, na bakteria wote mnatoka kwake.
Kilikuwa vipi...
Haya mambo bado yanachanganya wengi kwamba roho inaenda wapi baada ya kuachana na mwili
1.Je inaenda kuzimu?
2.Je inaenda peponi?
3.Je inazaliwa upya?
4.Je inawayawaya na kutangatanga huku na...
Tunamaliza mwaka 2019 na taharuki za kutisha na kutosha. Kwa akili za wastani ni rahisi sana kuwanyooshea vidole wengine lakini kiroho tafsiri ni kubwa kuliko hilo.
Mojawapo ya 'case sensitive '...
Inaandikwa kwamba, basi Bwana Mungu akasema. NA TUUMBE MTU kwa mfano wetu. Hapa Bwana Mungu hakuwa pekeyake... Kulikuwa na mamlaka kamili ya kiroho juu mbinguni yaliyokuwa yanaongozwa na Mungu...
Habari za mchana wana JF,
Baada ya uzi operation kitona nimeona kuna haja ya kuongelea Congo War kwa ujumla ili tuweze kupata kiini cha mgogoro na matokeo yake ingawa kwa wakati wa sasa...