Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Habari wana jukwaa..... Naomba nichukue nafasi hii kumsihi kila mtu kwa dini yake kwamba uh cyo uzi uliyolenga kuleta mjadala wa kidini kwamba ipi n bora au ipi cyo bora . Nimelenga kusikia...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Great thinkers naomba ufafanuzi juu ya haya maswali machache kuhusu biblia takatifu. 1. Hesabu 23:19 "inasema Mungu si mtu, aseme uongo, wala si mwanadamu ajute Iwapo amesema hatalitenda? Iwapo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za Viumbe wenzangu, poleni kwa kadhia mbalimbali. Wale mnaoteswa na mapenzi, siasa na uchumi, tambueni ya kuwa hamko peke yenu. Naomba nianze na swali. Unafikiria picha aina maana yoyote...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
1. Mwenge wa Huru; Huwa zinatolewa sababu nyingi za uwepo wake na pia hutengewa bilioni za pesa kuukimbiza. 2.Hati "original" ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Hii imekuwa na maswali...
15 Reactions
48 Replies
6K Views
Wakuu. Mimi swali ni hilo kuwa hivo vitabu vilitoka mbinguni kweli au viliandikwa hapahapa duniani ndio tukaanza kuvisoma na kuvifuata? Maana utasikia hiki kitabu cha Allah wengine utasikia...
6 Reactions
66 Replies
6K Views
Ili maiti aweze kuoshwa vizuri hatua zifuatazo ziweze kupitiwa: 1. Maiti awekwe kwenye kitanda chenye tobo katikati kwa ajili ya kupitisha uchafu utokao tumboni kama upo. 2. Lichimbwe shimo...
45 Reactions
420 Replies
68K Views
Wote wanatuambia Mungu ni "Omnipresent" yaani yuko mahali popote mda wowote, Yuko hapa, yuko pale, na kule kwa mda mmoja yuko sehemu zote; hakuna sehemu ambako hayupo, kila sehemu yupo.! Sasa hii...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Plaza de la Revolución: Jela za siri, ndogo na zilizotisha chini ya jengo la wanamapinduzi wa kweli. It's now Cuba's Ministry of the Interior. Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa...
18 Reactions
137 Replies
18K Views
Kiasili Ukraine ndio Mama wa Russia, Russia imetokana na Ukraine. Ukraine ya sasa huko kale iliitwa Kievan, baadae ikaitwa Kievan-Rus (hili nimewahi kulieleza kwa kina huko nyuma). Sasa leo...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za jioni wana JF, ni muda mrefu kidogo sijaweka mada humu ila leo tupate wasaa kidogo tukumbushane mambo machache kuhusu Bible. NB: Angalizo hii mada ni purely objective tusiiweke kidini...
10 Reactions
115 Replies
11K Views
Wakuu kwanza heri ya mwaka2022,nimekua nikifuatilia elimu mbalimbali kuhusiana mda ,kiukweli mda ndio kila kitu kwenye maisha ya kila kiumbe ,ila kama huna ujuzi wa kuutawala mda ,wewe si...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu naombeni mnifungue akili katika hili limenifikirisha mno, imewezekana vipi. Future iwe ndio hiyohiyo past, future ndio inajijengea past, palipo na future ndipo miguu ya past ilipo hapohapo...
15 Reactions
96 Replies
10K Views
Ambapo picha ilichukuliwa katika miaka ya 1982 kwa kutumia chombo cha umoja wa kisoviet kabla ya kuvunjika kwake katika miaka ya mwanzoni ya 90's. Chombo cha venera-14 kiliweza kutumia jumla ya...
21 Reactions
149 Replies
10K Views
Ushauri kwa Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya, Wizara ya michezo, TFF pamoja na BMT Serikali na TRA, mnaweza kuwezesha utoaji wa risiti za VAT kwa njia ya mobile SMS. I stand to be...
48 Reactions
99 Replies
25K Views
Kama akipatikana mtu anayeweza kukuelezea kwa usahihi tarahe,muda na namna ambayo utakufa. Na ukahakikisha kabisa kutokana na watu 1000 plus ambao aliwatabiria na ikwa kweli kwa asilimia 100...
1 Reactions
1 Replies
949 Views
Uwingi wa nyota na sayari zisizo na idadi zapelekea watu wa kalumu kuhisi uwezekano juu ya uwepo wa Uhai katika sayari hizo mbali na hii sayari yetu EARTH. Kumekuwepo matukio mengi...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Inafahamika kwamba wazazi hasa wa Kiafrika huwa na mitazamo juu ya maisha ya watoto wao kuanzia elimu mpaka makuzi ya watoto wao ndio hutoa taswira ya maisha ya mtoto. Lakini kwa upande mwingine...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hellow wanajf za muda mrefu jamvini. Nimewamiss kweli. Sema nini nilimiss kuandika kwelikweli. Si unajua tena kitaaluma mimi ni mwandishi. Nisipoandika napata homa. Ha ha natania. Haya turudi...
6 Reactions
28 Replies
5K Views
Kila nikitafakari changamoto ambazo baadhi ya watu wanapitia huwa naishia kusema ningekuwa Mungu nisingeiumba dunia hii jinsi ilivyo sasa. Hapa ninamaanisha ningeiumba bila uwezekano wa kuishia...
7 Reactions
66 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…