Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Nikiwa Nawaza na Kuwazua kuhusu Mambo kadha wa Kadha wazo linanijia Kichwani, wazo lenyewe ni Kuhusu Kitabu hiki tata, kinaitwa The Davinc'i Code! Mawazo yanayonipelekea kukaa nyuma ya Keyboard ya...
19 Reactions
103 Replies
29K Views
"KWA WA CUBA CASTRO ALIKUWA CUBA NA CUBA ILIKUWA CASTRO. Na KINGO SR[emoji736] (Kingoinversion on plyastore & Instagram) "Fidel Alejandro Castro Ruz alifariki usiku wa saa 4:29 siku ya tarehe...
6 Reactions
29 Replies
8K Views
Ipo nadharia ya kusafiri muda (time traveling), maana yake ni kua mtu anaweza kutoka leo au sasa na kwenda past yani jana au siku ama miaka ya nyuma. Yaani kama leo ni 2023, binadamu anaweza...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Kumekuwa na hadithi nyingi sana katika ulimwengu huu tunaoishi kuwa hatupo tu binadamu na wanyama pekee yetu bali pia kuna viumbe wengine wanaishi walio kama sisi maumbo mithili ya kwetu, akili...
13 Reactions
71 Replies
22K Views
Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani? Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko...
4 Reactions
132 Replies
9K Views
Umewahi kujiuliza kati ya kuku na yai nini kilitangulia? Hili swali sio geni, ila umewahi kulifikiria na kutafuta jibu lake? Kwanini wenye jibu sahihi hawataki kulitoa? 1. Ni kuku kwanza, halafu...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Hapa duniani kuna Imani nyingi sana. Kila mmoja anavutia kwake kwamba imani yake iko sahihi. Nahakuna hata mmoja anayekuja na maelezo sahihi kuhusu ukweli wa imani yake. Leo rafiki zangu...
23 Reactions
469 Replies
88K Views
Ndugu zangu naleta kwenu hii Nadharia ya Mwisho wa Dunia kwa mujibu wa Mafundisho ya Sauti ya Unabii kutoka kwa Elen G White. Hawa wenzetu wasabato wanaamini kipindi cha Mwisho wa dunia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
One of the tough nuts humans have struggled to crack is consciousness. that is because it is tough to even define it. However, today I Mr. Mc, would argue that the best definition of...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
WISH FULFILL WITHIN AN HOUR Je ulishawahi kutamani jambo litokee kwa haraka na urahisi zaidi na likashindikana? Hii hapa njia rahisi ya kutimiziwajamb unalotaka kwa muda mfupi. Jinsi ya...
15 Reactions
491 Replies
111K Views
Mfano nchi ya China 90%, North Korea 99% hawajui Quran wala Biblia. Pia huku Africa miaka ya 1900 kurudi nyuma dini zilikuwa bado hazijafika, nchi kama North Korea ni strictly prohibited...
21 Reactions
3K Replies
175K Views
Salute! P.S: Awali ya yote niseme tu wazi, sikuanzisha uzi huu ili mtu ajaribu kuiba pesa bank, nia yangu ni kuwapa uhalisia wa usalama wa pesa zako ziwapo benki na pia kuAlert mabenki waendelee...
124 Reactions
275 Replies
85K Views
Habari wana JF. Hivi ni kweli Masons, wanatumia kitabu cha The 66 Law of Illuminati. Secrets of Success? Kwamba ndio kinawafanya wanapata maendeleo? Nimejaribu kusoma juu kwa juu. Ila kwa wale...
8 Reactions
31 Replies
9K Views
"OPERATION SINAI EAGLE" ILIZIMA DEMOKRASIA NCHINI MISRI, NA IMEKATISHA MAISHA YA Dr MOHAMMAD MORSI. Na.Comred Mbwana Allyamtu Wednsday-19/6/2019 Moshi, Kilimanjaro - Tanzania. Demokrasia...
8 Reactions
53 Replies
8K Views
๐–๐š๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ก๐š๐›๐š๐ซ๐ข๐ง๐ข ๐ณ๐š ๐ฐ๐š๐ค๐š๐ญ๐ข ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ง๐ ๐ข๐ง๐ž ๐ญ๐ž๐ง๐š. ๐Š๐ฐ๐š๐ง๐ณ๐š ๐ค๐š๐›๐ข๐ฌ๐š ๐ง๐ข๐ฐ๐š๐ฌ๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ๐ซ๐ฎ ๐ฌ๐š๐ง๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š ๐‰๐…, ๐ค๐ฐ๐š ๐ฌ๐š๐›๐š๐›๐ฎ ๐ง๐ข๐ฆ๐ž๐ค๐ฎ๐ฃ๐š ๐ค๐ฎ๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฎ๐š ๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐ก๐š๐ฉ๐š ๐ง๐ข ๐ฆ๐จ๐ฃ๐š๐ฐ๐š๐ฉ๐จ ๐ฒ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ง๐ณ๐จ ๐ฏ๐ข๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ฌ๐š๐ง๐š ๐ฏ๐ฒ๐š ๐ฆ๐š๐š๐ซ๐ข๐Ÿ๐š, ๐ž๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ, ๐ฉ๐š๐ฆ๐จ๐ฃ๐š ๐ง๐š ๐ฎ๐ฃ๐ข๐ง๐ ๐š ๐ฉ๐ข๐š...
15 Reactions
48 Replies
6K Views
Ukiangalia kwa unfdani utaona kuwa dini nyingi ni matokeo ya maisha magumu. Kisaikolojia mtu akiwa frustrated na ugumu wa maisha huanza kuota ndoto za mchana na kufantasize maisha yasiyo na taabu...
8 Reactions
131 Replies
6K Views
1. Siku zote kumbuka kuwa hakuna mtu duniani ambaye hana matatizo. Hivyo si wewe pekee mwenye matatizo. 2. Changamoto ni sehemu ya maisha. Ni mtu aliyekufa tu ambaye hana changamoto. 3. Hakuna...
26 Reactions
41 Replies
5K Views
WAZEE HEBU TULIANGALIE HILI KWA MAMBO YA KODI ONLY KUSAFIRISHA KWA NCHI ZINAZORUHU People have been using marijuana and hemp for generations upon generations. In addition to being used as a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ushawahi kugundua kwanini watu ambao wameonja umauti, wakirudi duniani huwa wanakosa kauli? Au wengine wanaongea vitu ambavyo havieleweki? Unadhani ni nini hasa kinachopelekea mpaka mtu ambaye...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama waswahili wasemavyo maisha ni safari ndefu na kifo ni Siri, pengine hili ni kweli kutokana na sintofahamu iliyochukua uhai wa Alexander Litvinenko, jasusi wa zamaรฑi wa KGB na baadae FSB ya...
18 Reactions
34 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ