Je Forensic Investigation Inaweza Kugundua Maandishi Yaliyobadilishwa?

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,646
Wakuu habari za leo.
Nauliza kwamba Forensic Investigation wanao uwezo wa kugundua maandishi kwenye soft copy kama yamebadilishwa kutokana na original document?
Yaani mfano barua iliandikwa kuhusu maombi ya kwenda kutibiwa nje ya nchi kisha maandishi hayo yakafutwa na kuandikwa mkopo wa benki je watagundua?
Majibu tafadhali...
 
Ujapata jibu mpk sasa ?
 
Swali lako haliko sawa, ila fraud inajurikana ikifika kwa watu wenye taaluma yao.

Kama inawezekana hard copy iliyochomwa moto kuirecover ndio sembuse issue ya kitoto kama hiyo?
 
Yaani yale maandishi yaliyokuwa kwenye ile barua ya mwanzo yanafutwa yanakuwa overwritten.
 
Wakuu habari za leo.
Nauliza kwamba Forensic Investigation wanao uwezo wa kugundua maandishi kwenye soft copy kama yamebadilishwa kutokana na original document?
Yaani mfano barua iliandikwa kuhusu maombi ya kwenda kutibiwa nje ya nchi kisha maandishi hayo yakafutwa na kuandikwa mkopo wa benki je watagundua?
Majibu tafadhali...

Unaposema maandishi hayo yakafutwa, unamaanisha ujumbe au "content" uliomo katika barua.

Yaani namaanisha wataka kusema kuna maelezo yamebaki kama anuani zote za kutoka na kwenda, sahihi, na kichwa cha habari au yahusu?

Kama ni hivyo basi, kompyuta ilotumika kuanda hiyo barua ni nyenzo tosha kuweza kutumika tena kuipata hiyo barua.

Kazi hiyo inaweza kufanywa kwenye maabara maalum ya wataalam wa uchunguzi wa maandishi na tabia ya mwandishi.

Wao wana kila kitu kuanzia software, scanners na vingine.

Ila katika ulimwengu wa leo huweziu kuandika barua rasmi kama hizo bila kuzichapa.
 
Mzee editing ya document yoyote ile kwenye computer inajulikana tu watu wakiikalia.. Kama unaweza ku edit original basi hivyo hivyo upo utaalam wa kujua kuwa document hiyo ni feki au halisi.. Kwa wenzetu huko ndo maana unaona wanahangaika sana mtu kuharibu hard disks ili kupoteza ushahidi ila bado watu wanafukunyua tu..
 
Swali lako haliko sawa, ila fraud inajurikana ikifika kwa watu wenye taaluma yao.

Kama inawezekana hard copy iliyochomwa moto kuirecover ndio sembuse issue ya kitoto kama hiyo?
:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes: sasa wanatumia nn...majivu kuweza kurecover
 
Malyenge ,
Mkuu, Forensic science siyo kitu cha kisportsport Aiseee.

Sikia hilo swali lako na ulichouliza ni cha mtoto.

Iko hivi , hata kama ukichomo moto nikipata yale majivu ya hizo karatasi tu mzigo wote uliyokuwa umeandikwa kabla ya kuchomwa unarudishwa na unakuwa kama mwanzo.

Sasa , kwenye soft copy ndiyo rahisi kama vile kumsukuma mlevi kwenye mtelemko.

Kwa kifupi elewa tu kuwa, Forensic Science ni swala mtambuka inapokuja kwenye issues za investigations.
 
Wakuu habari za leo.
Nauliza kwamba Forensic Investigation wanao uwezo wa kugundua maandishi kwenye soft copy kama yamebadilishwa kutokana na original document?
Yaani mfano barua iliandikwa kuhusu maombi ya kwenda kutibiwa nje ya nchi kisha maandishi hayo yakafutwa na kuandikwa mkopo wa benki je watagundua?
Majibu tafadhali...
Yes. Inawezekana
 
Unafanyafanyaje? Au hata kwenye majivu mnatumia luminol pia?
 
Wakuu habari za leo.
Nauliza kwamba Forensic Investigation wanao uwezo wa kugundua maandishi kwenye soft copy kama yamebadilishwa kutokana na original document?
Yaani mfano barua iliandikwa kuhusu maombi ya kwenda kutibiwa nje ya nchi kisha maandishi hayo yakafutwa na kuandikwa mkopo wa benki je watagundua?
Majibu tafadhali...
Ofocurse inawezekana vizuri tu, hadi device zilizotumika kukubadirisha
 
Inawezekana
Kwa kufuatilia kila kilichotokea kwenye document hio

Kuna vifaa vya kisasa mno siku hizi
 
Back
Top Bottom